Ticker

6/recent/ticker-posts

Sykner ally afunguka haya hapa




MWIGIZAJI wa Bongo Movies ambaye amepotea, Sykner Ally ameweka wazi kuwa, kupotea kwake mazima kwenye filamu ni kwa sababu alijitumbukiza katika biashara.

Sykner aliliambia Ijumaa Wikienda kuwa, aliamua kukaa kimya kwa muda mrefu kwa sababu alikuwa akijipanga kuingia kwenye biashara hivyo akaweka kila kitu pembeni.

“Siyo kwamba nimetoka kabisa kwenye filamu, bali nilikuwa ninajipanga maana nilitaka nianze biashara hivyo nilitakiwa kujituliza kwanza nione kwenye biashara nitaendeleaje, sasa ninamshukuru Mungu ninaendelea vyema,” alisema Sykner.

Chapisha Maoni

0 Maoni