Ticker

6/recent/ticker-posts

India yafungisha ndoa za vyura




Wakati matukio ya kufurahisha na kusikitisha yakiripotiwa kila kukicha Duniani, huko nchini India mji wa Lagaan wananchi huwafungisha ndoa vyura kama ishara ya kuomba Baraka.

Imeelezwa kuwa  wakazi wa eneo hilo huwafungisha ndoa vyura kama ishara ya kumuomba Mungu wao wa mvua awaletee Baraka za mvua katika eneo hilo ili kufanikisha shughuli zao.

Unaambiwa kuwa katika mji wa Lagaan mvua ndio kila kitu na wakazi wa eneo hilo wako tayari kufanya lolote lile ili tu kumfurahisha Mungu wao mvua.

Aidha inaelezwa kuwa katika zoezi la kuwafungisha ndoa vyura wakazi wa eneo hilo hufanya sherehe kubwa sana ambapo chura mwanaume na mwanamke huandaliwa na kupambwa vizuri kabla ya kufungishwa ndoa.
____________________________________________________________________ ASANTE KWA KUFUNGUA POST HII Tuna kusihii endelea kutembelea blog yetu ili upate kujifunza meng pia kwa kupakua nyimbo mpya kila Siku ********************************************************* Je? Wewe ni msanii au mfanya biashara Je? Wahitaji tangazo au mziki wako uwafikie watu weng Tangaza mziki biashar tangazo NK. hapa wasiliana nasi 0757136484 Email. Kingsevenmedia@gmail.com

Chapisha Maoni

0 Maoni