Msanii toka singida severin Michael maarufu kama KING SEVENSEVEN
ambae anatamba na nyimbo yake iitwae WANASEMA
amedai kua
Harmo rapper hana ujanja sasa kwakua amekaukiwa kutokana na kiki zake ambazo alikua akipitia watu wamezigundua kua zilipendwa
King Seven amedai kua harmo rapper asipo jirekebisha anaweza kupotea kwenye game
Aliendelea kusisitiza kua yeye amezisoma kiki za msaniii huyo akiamua kumupita inawezekana ila haja amua na pia amesema kiki za harmo rapper zilikua za kitoto yeye anakuja na kiki mpya wajiandae
__________________________Tangaza biashara yako yeyote hapa ili kuwafikia weng zaidi kwa mawasiliano zaidi
0757136484



0 Maoni
King seven tz