Amefungka haya msanii huyu baada ya kuulizwa maswali kadhaa na baadhi ya mashabiki wake
Amedai kua watu weng wanafanya mziki kama burudan kwao yaan anaimba ili apate kiki ilaa yeye amekanusha kwamba
Anajua anacho kifanya kuwa ni ajira yake anategemea mziki umkipe nasio kuulipa mziki
Ameongeza kua vijana weng wamekua wakilewa sifa na kuridhika nakujisifia kua wamefika
Pia amewataka wadau wake na mashabiki Wa mziki wasapoti kazi zake zote
_________________________________________________
Tangaza nasi kupitia namba zifuatazo
0757135483
Au
0 Maoni
King seven tz