Inaelezwa kuwa mtoto huyo aliondoka akiwa anacheza tu na kutoweka kwa saa 15 huku akizua taharuki kwa ndugu na watu mbalimbali kumtafuta na baadaye kumpata porini akiwa na mbwa huyo Max.
Kwa saa zote hizo mtoto huyo wa miaka mitatu anayejulikana kwa jina la Aurora alikuwa na mbwa katika vichaka vya eneo la Queensland’s Southern Downs.
Baada ya kumpata mtoto polisi waliokuwa kwenye msako na ndugu, walimpa mbwa huyo heshima ya kuwa ”mbwa wa polisi wa heshima’ kwa kumlinda mtoto huyo.
____________________________________________________________________ ASASANTE KWA KUFUNGUA POST HII Tuna kusihii endelea kutembelea blog yetu ili upate kujifunza meng pia kwa kupakua nyimbo mpya kila Siku ********************************************************"""** Tangaza biashara mziki Nk. yako hapa wasiliana nasi 0757136484 Email. Kingsevenmedia@gmail.com
0 Maoni
King seven tz