PICHA 7: Muonekano wa nyumbani kwa kina ‘Masogange’ yatakapofanyika mazishi






Leo April 21, 2018 Mwili wa Video Vixen maarufu nchini,Agness Gerald ‘Masogange‘utaagwa kesho viwanja vya Leaders Club Jijini Dar es Salaam kisha safari ya kuupeleka kijijini kwao Utengule Mbalizi mkoani Mbeya ambapo mazishi yatafanyika.
 king seven tz nakusogezea PICHA 7 za muonekano wa nyumbani kwao Utengule Mbalizi shuka chini kuzitama.




_______________________________________________________________________ ASASANTE KWA KUFUNGUA POST HII Tuna kusihii endelea kutembelea blog yetu ili upate kujifunza meng pia kwa kupakua nyimbo mpya kila Siku ********************************************************"""** Tangaza biashara mziki Nk. yako hapa wasiliana nasi 0757136484 Email. Kingsevenmedia@gmail.com

Chapisha Maoni

0 Maoni