Mwanamuziki huyo wa miondoko ya Hip Hop amefariki dunia ghafla usiku wa kuamkia leo akiwa nyumbani kwao Salasala Jijini Dar, mwili umehifadhiwa Hospitali ya Jeshi Lugalo.
Atakumbukwa kwa vibao vyake kama vile Nataka na Kingzilla
Aidha, Godzilla alijizolea umaarufu na mashabiki wengi kutokana na umahiri wake wa kuimba mashahiri ya papo kwa papo 'Freestyle'
--
Inasikitisha sana kuona Kijana mpiganaji anatuacha mapema hivi Upumzike kwa Amani Kingzilla...salasala
Kingseventz.blogspot.com
0 Maoni
King seven tz