Mwanajeshi mmoja wa Uturuki ameripotiwa kuuawa na kundi la kigaidi la PKK Mashariki mwa nchi hiyo.
Kwa mujibu wa habari,wanajeshi wengine watatu wamejeruhiwa katika eneo la Bingol.
Magaidi wa PKK wanasemekana kuwamwagia risasi wanajeshi hao na kusababisha kifo cha mmoja.
Shambulizi hilo limetokea katika operesheni dhidi ya magaidi nchini humo.
Kundi la PKK lilianzisha kampeni dhidi ya Uturuki Julai 2015.
Toka kipindi hicho maelfu ya waturuki wamepoteza maisha kufuatia mashambulizi hayo.
____________________________________________________________________ ASANTE KWA KUFUNGUA POST HII Tuna kusihii endelea kutembelea blog yetu ili upate kujifunza meng pia kwa kupakua nyimbo mpya kila Siku ********************************************************* Je? Wewe ni msanii au mfanya biashara Je? Wahitaji tangazo au mziki wako uwafikie watu weng Tangaza mziki biashar tangazo NK. hapa wasiliana nasi 0757136484 Email. Kingsevenmedia@gmail.com
0 Maoni
King seven tz