Ticker

6/recent/ticker-posts

Muuguzi afariki kwa ugonjwa wa Ebola wakati chanjo inatolewa





Chanjo ya Ebola imeanza kutolewa nchini DRC huku muuguzi mmoja akiripotiwa kufariki dunia kutokana na ugonjwa huo katika mji wa Bikoro, kaskazini magharibi mwa taifa hilo na kuongeza idadi ya waliokufa kutokana na mlipuko wa Ebola kufikia 27.

Mkuu wa shirika la Afya Duniani, WHO, Tedros Adhanom Ghebreyesus, amesema mjini Geneva katika mkutano wa kila mwaka wa WHO unaohudhuriwa na nchi wanachama 190 kuwa anafurahi kwamba chanjo hiyo imeanza kutolewa na amefurahishwa na hatua za dharura za kimataifa zilizochukuliwa kuukabili.

.____________________________________________________________________ ASANTE KWA KUFUNGUA POST HII Tuna kusihii endelea kutembelea blog yetu ili upate kujifunza meng pia kwa kupakua nyimbo mpya kila Siku ********************************************************* Je? Wewe ni msanii au mfanya biashara Je? Wahitaji tangazo au mziki wako uwafikie watu weng Tangaza mziki biashar tangazo NK. hapa wasiliana nasi 0757136484 Email. Kingsevenmedia@gmail.com

Chapisha Maoni

0 Maoni