Ticker

6/recent/ticker-posts

stevenson aachia nyimb mpya inaitwa NATAMANI

Mwimbaji Wa bongo fleva STEVENSON ameachia song yake mpya yaitwa NATAMANI 
Msanii huyo akiongea na KING SEVEN msimamizi Wa blog hii ya mfalme media
Ameisema kua ametoa nyimbo nying ambazo zimefanya vizur katika media mbalimbali lakin hii nyimbo itakua zaidi ya zote

     


_______________________________________________________
Tangaza nasi kupitia namba zifuatazo

0757136484


Au 
Kingsevenmedia@gmail.com

Chapisha Maoni

0 Maoni