Figo ni kiungo muhimu katikamwili wa binadamu, hufanya kazi ya kuchuja damu huku ikiondoa sumu zote za mwili ,figo hufanya kazi ya kurekebisha kiasi cha maji mwilini (electrolyte level).
Kabla damu haijapita katika figo, huwa imebeba maji na taka taka nyingi sana (urea) ,lakini inapopita katika figo huchujwa na vitu muhimu hurudishwa katika mzunguko wa damu lakini,masalia mengine ambayo hayafai tena katika mwili ikiwani pamoja na kiwango cha maji kilichozidi hupitishwa kwenye mirija miwili (ureters)kuelekea kwenye kibofu ( urinary bladder) nakisha kutolewa nje ya mwili kupitia njia ya mkojo (urethra).
Mkusanyiko wa kemikali hizi (chemical crystals), wakati mwingine hugandamana na kutengeneza chembechembe ya vitu kama mchanga,kadri siku zinavyozidi kuendelea ndivyo vinavyozidi kukua hadiwengine hufikia hatua ya kuziba njia ya mkojo katika figo yenyewe (neprone) au kwenye mirija yakupeleka mkojo kutoka kwenye figo kwenda kwenye kibofu (ureteter), hapo ndipo mtu anaanza kupata shida ya kukojoa na kusikia maumivu makali.
Hizi dalili kuu za uwepo wa mawe katika figo: Mtu mwenye mawe kwenye figo huonyesha dalili zifuatazo;
Maumivu ya mgongo na kiuno
Mkojo kutoka ukiwa na rangi ya damu
Kutokwa na jasho wakati wa usiku
Kupatwa na homa kali kwa wakati flani ikiambatana na kutetemeka mwili
Kuhisikichefuchefu na kutapika
Mkojo kuwa na harufu kali
Maumivu makali sehemu za mbavu
Miguu kujaa maji/kuvimba.
Maumivu ya tumbo chini ya kitovu upande wa kushoto au kulia kutegemea ni figo ya upande gani iliyoathirika.
Maumivu makali unapogusa upande wa figo iliyoathirika.
Tangaza biashara yako mziki matangazo yeyote upate kuwafikia watu weng zaid wasiliana nasi
0757136484
Gmail. Kingsevenmedia@gmail.com
var testimonials = [
{ quote: "Tovuti hii ni nzuri sana. Inanipa maarifa mengi.", name: "John Doe", image: "link_to_image1.jpg" },
{ quote: "Thanks for all the valuable content. Keep it up!", name: "Maria M.", image: "link_to_image2.jpg" },
{ quote: "Blog hii imenisaidia kujifunza mambo mapya kila siku.", name: "Ahmed A.", image: "link_to_image3.jpg" },
{ quote: "The information here is top-notch! Very informative.", name: "Hannah W.", image: "link_to_image4.jpg" },
{ quote: "Kama ungeweza kubadilisha speed ya page kidogo, ingekuwa bora zaidi.", name: "Samuel K.", image: "link_to_image5.jpg" },
{ quote: "Mpenzi blogu hii inaburudisha sana. Ningependa kuona zaidi.", name: "Pierre D.", image: "link_to_image6.jpg" },
{ quote: "Huu ni ukweli! Umeandika kwa ufanisi na umenivutia sana.", name: "Rachel L.", image: "link_to_image7.jpg" },
{ quote: "Blog hii inatoa maarifa mengi kuhusu kila kitu.", name: "Isaac T.", image: "link_to_image8.jpg" },
{ quote: "Nashukuru kwa hili, ni mkombozi wangu katika kusoma.", name: "Fatuma S.", image: "link_to_image9.jpg" },
{ quote: "Hii blogu ni bora sana. Inafaa kwa kila mtu anayetaka kujifunza.", name: "Lina K.", image: "link_to_image10.jpg" },
{ quote: "Mambo mnayoyaandika ni ya kisasa na yanavutia. Asante.", name: "Linda P.", image: "link_to_image11.jpg" },
{ quote: "Your blog has been an eye-opener to me!", name: "Musa W.", image: "link_to_image12.jpg" },
{ quote: "Blogu hii ina style ya kipekee. Ninapenda sana.", name: "Peter J.", image: "link_to_image13.jpg" },
{ quote: "Keep up the great work! I am enjoying reading.", name: "Sarah M.", image: "link_to_image14.jpg" },
{ quote: "Napenda jinsi unavyoandika kwa ufanisi. Continue like this.", name: "John K.", image: "link_to_image15.jpg" },
{ quote: "Blogu yako ni muhimu sana kwa kila mwanafunzi.", name: "Kazi A.", image: "link_to_image16.jpg" },
{ quote: "This is the best content I have read in a while. Keep it up!", name: "Cynthia R.", image: "link_to_image17.jpg" },
{ quote: "Mengi sana yanajificha kwenye blogu hii. Sijawahi kuona kama hii.", name: "Yasin N.", image: "link_to_image18.jpg" },
{ quote: "Hii blogu ni nzuri. Napenda jinsi unavyochanganya topics tofauti.", name: "Susan L.", image: "link_to_image19.jpg" },
{ quote: "Nashukuru kwa huduma hii. Weka zaidi za motivation.", name: "Amani W.", image: "link_to_image20.jpg" },
{ quote: "Very insightful content that helped me a lot.", name: "Chris O.", image: "link_to_image21.jpg" },
{ quote: "Tunapata maarifa ya ajabu. Keep posting more!", name: "Mike T.", image: "link_to_image22.jpg" },
{ quote: "Jina lako linavutia sana. Umeandika kwa ufundi mkubwa.", name: "Emma K.", image: "link_to_image23.jpg" },
{ quote: "Asante kwa ufahamu huu. Nimejifunza vitu vingi.", name: "David L.", image: "link_to_image24.jpg" },
{ quote: "Jumuia hii inafaida kubwa. Umechangia sana.", name: "Juma A.", image: "link_to_image25.jpg" },
{ quote: "Amazing insights, I learn something new every time.", name: "Jade T.", image: "link_to_image26.jpg" },
{ quote: "Ninapenda sana blog hii. Imeongeza elimu yangu.", name: "Grace P.", image: "link_to_image27.jpg" },
{ quote: "I recommend this blog for all the young learners.", name: "Omar M.", image: "link_to_image28.jpg" },
{ quote: "Nashukuru kwa hili, itachangia maendeleo yangu.", name: "Rose M.", image: "link_to_image29.jpg" },
{ quote: "Jambo hili limenivutia sana. Najivunia kuwa mfuatiliaji wako.", name: "Daniel C.", image: "link_to_image30.jpg" },
{ quote: "Incredible blog with so much knowledge!", name: "Mariam A.", image: "link_to_image31.jpg" },
{ quote: "Nina furaha kuwa sehemu ya jamii hii ya blog.", name: "Ali K.", image: "link_to_image32.jpg" },
{ quote: "Nimeshuhudia maendeleo mengi kwa kutumia blog hii.", name: "Naomi J.", image: "link_to_image33.jpg" },
{ quote: "Nashukuru kwa elimu unayotufundisha kupitia blog hii.", name: "David R.", image: "link_to_image34.jpg" },
{ quote: "I love the diverse topics covered on this blog.", name: "Sally T.", image: "link_to_image35.jpg" },
{ quote: "Blog hii ni ya kipekee. Asante kwa kufanya hivyo.", name: "Sophia M.", image: "link_to_image36.jpg" },
{ quote: "I'm amazed by the knowledge shared here.", name: "Mohamed B.", image: "link_to_image37.jpg" },
{ quote: "Hii blogu inafaa sana kwa wapenzi wa kujifunza.", name: "Jane N.", image: "link_to_image38.jpg" },
{ quote: "I enjoy reading here every time I visit!", name: "Chris A.", image: "link_to_image39.jpg" },
{ quote: "Tunaomba tuendelee kupokea makala zaidi kama hizi.", name: "Emilia Z.", image: "link_to_image40.jpg" },
{ quote: "Blogu hii inatufanya tuwe na maarifa zaidi.", name: "Joseph R.", image: "link_to_image41.jpg" },
{ quote: "Nice work. I look forward to new content.", name: "Victor L.", image: "link_to_image42.jpg" },
{ quote: "Napenda vitu vya kipekee vinavyopatikana kwenye blog hii.", name: "Karen B.", image: "link_to_image43.jpg" },
{ quote: "Maoni yangu kuhusu blogu yako ni mazuri. Endelea hivi.", name: "Sina K.", image: "link_to_image44.jpg" },
{ quote: "Your blog keeps improving. Keep the fire burning!", name: "Michael S.", image: "link_to_image45.jpg" },
{ quote: "Kila post inaleta elimu mpya kwangu.", name: "Tunda L.", image: "link_to_image46.jpg" },
{ quote: "This blog has great tips and hacks. I love it!", name: "George T.", image: "link_to_image47.jpg" },
{ quote: "Kweli, blog hii imefungua macho yangu. Asante.", name: "Joseph M.", image: "link_to_image48.jpg" },
{ quote: "I always learn something new when I read your posts.", name: "Wema N.", image: "link_to_image49.jpg" },
{ quote: "Umeandika kwa weledi mkubwa. Asante kwa hili.", name: "Peter M.", image: "link_to_image50.jpg" }
];
0 Maoni
King seven tz