Ticker

6/recent/ticker-posts

Dogo janja baada ya kuvuja kwa video tata ya nandi na billnass




April 12 katika upande wa burudani moja kati ya stori zilizochukua headlines ni kuvuja kwa video clip ikiwaonesha muimbaji Nandyakiwa mapenzini na msanii mwenzake Billnass.
Nandy baada ya kuvuja kwa video hiyo alikiri kuwa ni yake na kuomba msamaha kwa mashabiki, familia yake na kila mmoja aliyechukizwa na video.
Baada ya kila mmoja kuwa na mawazo tofauti kuhusiana na ishu ya Nandy na Billnass ilaDogo Janja ameamua kumtetea Nandy kwa kuamdika ujumbe huu katika ukurasa wake wa instagram“Asiyekuchoka kwenye shida MUNGU atamlinda zaidi ili mcheke wote kwenye raha.. #MyRichFriend@officialnandy ❤️ #NoBodyIsPerfect>>> Dogo Janja
Nandy baada ya kusambaa kwa video yake tata na Bill Nass




_______________________________________________________________ ASASANTE KWA KUFUNGUA POST HII Tuna kusihii endelea kutembelea blog yetu ili upate kujifunza meng pia kwa kupakua nyimbo mpya kila Siku ********************************************************"""** Tangaza biashara mziki Nk. yako hapa wasiliana nasi 0757136484 Email. Kingsevenmedia@gmail.com

Chapisha Maoni

0 Maoni