STAA mwenye mvuto wa kipekee kwenye kiwanda cha filamu Bongo, Kajala Masanja ametoa kali baada ya kusema kuwa katika vitu ambavyo havipendi ni kulala na nguo usiku japokuwa bado hajaolewa.
Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Kajala alisema kuwa, jambo la kwanza ambalo mtu akimwingilia usiku wa manane, atakiona ni mwili wake maana kuvaa nguo yeye usiku ni mwiko hata kuwe na baridi kiasi gani analala hivyohivyo.
“Jamani ukiniambia nivae nguo usiku, unaweza kunichapa fimbo maana siwezi hata kidogo yaani siku mtu akiniingilia usiku kuniibia, anaweza kuachana na zoezi hilo akaanza kunikodolea macho,” alisema Kajala huku akicheka.
Mambo Matatu (3) unayopaswa kumfanyia mumeo ili akupende daima
-
Ili mapenzi yanoge basi ewe mwanamke unatakiwa kuhakikisha ya kwamba
unafanya mabo yafutayo kwa mumeo;
*Muamini mmeo au mchumba wako. *
iongoni mwa mamb...
Miaka 5 iliyopita
0 Maoni
King seven tz