Ticker

6/recent/ticker-posts

Kifo cha masogange: Diamond. Belle9. Wema sepetu rayvan NK. wamulilia





Leo April 20,2018 simanzi kubwa umetawala kwenye tasnia ya muziki wa Bongo Fleva kupoteza video vixen maarufu Agnes Gerald “Masogange” na kwa upande wa mastaa ambao wameonyesha kuguswa na msiba huu ni pamoja na wanamuziki na waigizaji akiwemo Wema Sepetu, Diamond Platnumz, Barnaba, Steve Nyerere, Kajala, Rayvanny, JB na wengine.
MSIBA WA MASOGANGE:Belle 9 amezungumza cha mwisho walichoongea


_______________________________________________________________________ ASASANTE KWA KUFUNGUA POST HII Tuna kusihii endelea kutembelea blog yetu ili upate kujifunza meng pia kwa kupakua nyimbo mpya kila Siku ********************************************************"""** Tangaza biashara mziki Nk. yako hapa wasiliana nasi 0757136484 Email. Kingsevenmedia@gmail.com

Chapisha Maoni

0 Maoni