Ticker

6/recent/ticker-posts

VIDEO; Korea kusini ya mpigia sauti magufuli






Rais wa Shirika la Misaada la Korea Kusini KOICA Bi. Lee Mi Kyung amesema shirika hilo litaendelea kushirikiana na serikali ya Tanzania katika masuala mbalimbali ya maendeleo huku akiipongeza Tanzania chini ya Rais Jonh Magufuli kwa sera yake ya "HAPA KAZI TU" pia kwa kudumisha amani na kuimarisha uchumi tofauti na Mataifa mengine.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE






______________________________________________________________________ ASASANTE KWA KUFUNGUA POST HII Tuna kusihii endelea kutembelea blog yetu ili upate kujifunza meng pia kwa kupakua nyimbo mpya kila Siku ********************************************************"""** Tangaza biashara mziki Nk. yako hapa wasiliana nasi 0757136484 Email. Kingsevenmedia@gmail.com

Chapisha Maoni

0 Maoni