Ticker

6/recent/ticker-posts

Davido akataa dili Milioni 60 la Mpenzi wake


 


Staa wa muziki kutokea Nigeria Davido ameweka hadharani kuwa hataki mpenzi wake Chioma apewe ubalozi kwenye kampuni yoyote kwa shillingi Milioni 60 atakubali tu kama deal hilo litakuwa la Milioni 100 na labda atafikiria kuhusiana na hilo.

Davido ameyasema hayo kupitia account yake ya twitter ambapo ameandika “Nimepata offer ya Milioni 60 za mradi wa mpenzi wangu lakini nimewaambia walete milioni 100 labda atafikiria”

Davido na Chioma inasemekana kuwa wamekuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa miaka mitano na pia kitu ambacho kilibeba headlines  kwenye mitandao ya kijamii ni kuhusu Davido kumzawadia Chioma gari aina ya porshe lenye gharama zaidi ya shillingi milioni 200 kwenye birthday yake




___________________________________________________________________ ASANTE KWA KUFUNGUA POST HII Tuna kusihii endelea kutembelea blog yetu ili upate kujifunza meng pia kwa kupakua nyimbo mpya kila Siku ********************************************************* Je? Wewe ni msanii au mfanya biashara Je? Wahitaji tangazo au mziki wako uwafikie watu weng Tangaza mziki biashar tangazo NK. hapa wasiliana nasi 0757136484 Email. Kingsevenmedia@gmail.com

Chapisha Maoni

0 Maoni