RIWAYA : KIVULI
MTUNZI : SEVERIN MICHAEL
LIKE PAGE hii hapa 👉facebook.com/riwayazakingseverin
CONTACT. 0757136484 CALL & SMS & WHTSAPP
SEHEMU YA KUMI NA MBILI (12)
========= ILIPOISHIA==========
JOHN alibadilika na kiwa kiumbe wa kutisha macho yake yalikua mekundu kama miale ya moto miguu yake ilikua na kwato kama za miguu ya ngh'ombe kucha za mikonon zikawa ndefu kupita kawaida
dereva alipoona John kabadilika akafunga breki akataka kutoka mbio alikua tayari amechelewa John almdaka shingo na kumnyonga akafa pale pale kisha akageuka upande wa nyuma ambako alikaa maria
========ENDELEAAA======>>>
wale wakina mama walipoona hali ya John imebadilika ghafla wakaingiwa na hofu wakaanza kupiga makelele ya kuomba msaada
lakin bila mafanikiio
mama mmoja alifungua mlango wa gari kabla hajatoka John alimdaka shingo akamgh'hata maeneo ya shingoni damu ikaanza kutoka kisha jonh akaanza kunyonya damu ile kwa mdomo wake
kusema kweli palikua hapashikiki yaan palikua padogo hapatoshi wale wakinamama walio salia walifungua mlango upande wa pili wakatoka nnje wakaanza kutimua mbio huku wakipiga mayowe walisahau kama wamemuacha maria kwenye gar
ila wao waliokoa tu roho zao
jonh alipomaliza kunyonya damu ile akachukuaile maiti akatoweka nayo kimuujiza sehemu isiyo nilikana
***************************
kule ndani ya nyumba ya kulal wageni (GESTI) alionekana sinje akiwa ameshikilia begi lake mkononi ndan ya begi hilo zilikua zimejaa hela tu alizo toka nazo machimboni
akazipiga hatua kadhaa akakodisha boda boda na kuanza safari ya kwenda kwamama yake hakujua mama yak kuwa amekunywa sumu na sasa yuuu hali mbaya
walisafiri umbali mrefu kidogo ile piki piki ikawazima ghafla kumbe ilika ni mbovu wakashuka sinje akaamua kuchukua usafiri mwingine kusonga mbele akamlipa hela yake akazipiga hatua kadhaaa kabla hajafika mbali alisikia watu wakipiga mayowe ya kutaka kuomba msaada akasita kuendelea kutembea akaanza kufuata sauti ile ya mayowe
kumbe sinje alikua yupo eneo latukio kwa mbali aliona gar likiwa limepaki kati kati ya barabara akaamua kulikaribia hauweza amini baada ya kumuona mama yake yupo ndani ya gari hilo
=========ITAENDELEAA=======>>>>>>
ungana na Mimi SEVERIN MICHAEL
wakati ujao kwenye sehemu ya kumi na tatu (13)
LIKE COMMENT SHARE. page hii
asanteni. {2017™}®
____________________________________________________________________ ASANTE KWA KUFUNGUA POST HII
Tuna kusihii endelea kutembelea blog yetu ili upate kujifunza meng pia kwa kupakua nyimbo mpya kila Siku *********************************************************
Je? Wewe ni msanii au mfanya biashara
Je? Wahitaji tangazo au mziki wako uwafikie watu weng Tangaza mziki biashar tangazo NK. hapa wasiliana nasi 0757136484 Email. Kingsevenmedia@gmail.com
0 Maoni
King seven tz