Usiku wa June 6, 2018 Muimbaji Sam wa Ukweli amefariki dunia baada ya kuugua na mwili wake kupelekwa katika hospital ya Mwananyamala hukuProducer wake Steve aliekua akifanya kazi na Msanii huyo kuthibitisha kuwa Sam wa Ukweli alikuwa akiumwa UKIMWI wa kulogwa..
..>>> “Sam alianza kuzidiwa toka J’mosi, tulipomuuliza anaumwa nini alisema UKIMWI lakini sio UKIMWI wa kawaida bali wa kulogwa” – Steve
Sasa baadhi ya mastaa mbalimbali wameguswa na tukio hilo na kupost kwenye ukura zao za Instagram…>>>“Dah!!!😢😢😢😢nitasema nini sasa mimi 😢😢tangulia tu mdogo wangu harakati ndio zimeishia hapa kweli????😢😢😢😢😢” – SNURA
.…>>>”Poleni Ndugu wafiwa wote na Mashabiki kwa ujumla jamani🙌 R.i.p Sam Tangulia mwaya 🙏” – WOLPER
……>>>“Whaaaat? R.I.P SAM WA UKWELI🙏” Prof. Jay
Kingseventz.blogspot.com inawapa pole wale wote walio guswa na msiba huu
R. I. P. Sam wa ukwel
____________________________________________________________________ ASANTE KWA KUFUNGUA POST HII Tuna kusihii endelea kutembelea blog yetu ili upate kujifunza meng pia kwa kupakua nyimbo mpya kila Siku ********************************************************* Je? Wewe ni msanii au mfanya biashara Je? Wahitaji tangazo au mziki wako uwafikie watu weng Tangaza mziki biashar tangazo NK. hapa wasiliana nasi 0757136484 Email. Kingsevenmedia@gmail.com
0 Maoni
King seven tz