Tattoo ni nini?
hii ni uwekaji wa wino kwenye ngozi ya ndani kitaalamu kama dermis kubadilisha rangi kabisa maisha yako yote au kwa muda tu, inateemea na uwekaji..
kwa dunia ya sasa kujichora tatoo ni kama fasheni fulani kwenye jamii, ukienda kuchora tattoo kuna uwezekano mkubwa sana isitoke maisha yako yote hivyo kwa usalama wako ni vizuri ukamuona mtaalamu wa tattoo ambaye ni maarufu na ana sifa kubwa katika shughuli hizo, anaweza kua ana gharama kubwa lakini binafsi itakusaidia.kwa sasa nchi ya marekani inaongoza kwa kua na watu wengi wenye tattoo duniani.
hivyo kabla hujaamua kujichora tattoo basi madhara yake haya hapa..
Kansa ya ngozi; hapo mwanzoni wataalamu walikua wanasema hakuna mahusiano kati ya kansa ya ngozi na na tabia ya kujichora tattoo lakini hivi karibuni tafiti kutoka uingereza zinaonyesha kuna aina fulani za wino ambazo zinaweza kusababisha kansa zikitumika kuchora tattoo.
Allergy ya ngozi; haijalishi unaweka tattoo kwa muda au ya moja kwa moja kumetokea kesi nyingi za watu wanaopata allergy baada ya kupakwa tattoo, utafiti unaonyesha rangi nyekundu ndio inaongoza kwa kusababisha allergy hizo huku rangi zingine kama nyeusi, purple na zingine hazisababishi. mara nyingi allergy hizi huonekana mtu akikaa juani.
makovu; mwili unataambua tattoo kama adui wake hivyo hujaribu kuiondoa kwa njia mbalimbali na kwa kufanya hivyo husababisha makovu ya muda mrefu ambayo yanaweza kuleta magonjwa mengine ya ngozi.
Maambukizi ya ukimwi na ugonjwa wa hepatitis; tabia ya kurudia sindano zilezile wakati wa kuchora tattoo kunaweza kusababisha maambukizi ya virusi vya ukimwi na maambukizi ya virusi vinavyoshambulia ini kitaalamu kama hepatitis b. ugonjwa huu wa hepatitis b husababisha kansa ya ini ambayo haitibiki. ni vizuri kua makini ili uone kama sindano inayotumika kwako ni mpya.
Matatizo kipindi cha kufanya kipimo cha MRI; hichi kipimo ni cha mionzi na kirefu chake ni magnetic resonance imaging, hutumika kupima viungo vya mwili ambavyo havionekani kwa macho ndani ya mwili wa binadamu kama x ray inavyofanya. tatizo ni kwamba kipimo hiki kina sumaku kali kiasi kwamba mtu hatakiwi kuingia kwenye mtambo huo akiwa amevaa chuma chochote na hata kama kiko ndani ya mwili kitavutwa nje, sasa mara nyingi tattoo nyeusi hua imetengenezwa na compound kitaalamu kama iron oxide ambayo ina chembechembe za chuma. hii inaweza ikaleta changamoto kubwa kwenye vipimo.
Kubadilika kwa ngozi ya rangi; sehemu inayochorwa tattoo hubadilika moja kwa moja na kua na rangi tofauti, hakuna jinsi unaweza ukaitoa hiyo rangi tena, hata baada ya muda mrefu tattoo ikipungua nguvu lakini ngozi haiwezi kua kama zamani.
Hutaruhusiwa kuchangia damu; mara nyingi watu wenye tattoo hawaruhusiwi kuchangia damu kwani wana hatari ya kusambaza ugonjwa kwenda kwa mtu mwingine, kimsingi mtu aliyechora ndani ya muda mfupi ndio haruhusiwi lakini kwasababu wakati mwingine sio rahisi kutofautisha tattoo mpya na ya zamani basi hawa watu huwa hawaruhusiwi kabisa.mchezaji wa kimataifa christian ronaldo hachori tattoo kwa sababu ya hili.
Unaweza kukosa fursa mbalimbali; kuna kampuni mbalimbali duniani haziwapi watu kazi kwasababu wamechora tattoo kulingana na imani za kampuni husika lakini pia kazi yeyote ya jeshi duniani hairuhusu tattoo hivyo kama wewe unayesoma hapa umeshachora tattoo ujue kazi ya jeshi huna tena.
Tattoo huingiliana na matumizi ya dawa fulani; kama wewe unatumia dawa za kuzuia damu isingane mwilini ukichora tattoo inaweza kufanya utoke damu nyingi sana kwani dawa hizo huzuia uwezo wa mwili kukausha damu na kuponyesha vidonda.
Magonjwa ya ngozi; wakati mwingine bacteria huweza kuvamia sehemu zenye vidonda vya tattoo na kusababisha kutopona haraka, dalili huweza kua homa kali, maunivu makali na sehemu ya tattoo kuvimba.
Damu kuganda juu ya ngozi[haematoma]; hii husababishwa na kuvuja kwa damu nyingi chini ya ngozi, huonekana sana pembeni pembeni ya sehemu ambapo rangi ya tatoo imepita na huchelewesha kupona kwa kidonda.
Nini kifanyike kwa wanaopenda tattoo?
Siku hizi kuna tattoo zinachorwa juu ya ngozi kama hina na kuondoka baada ya muda fulani, hizi hazina madhara kabisa, huchorwa kwa bei ndogo na hukupa nafasi ya wewe kubadilisha tatoo za aina mbalimbali kwenye sehemu moja ya mwili.
je tattoo inafutika?
Ni ngumu sana kuifuta tattoo na hii ni changamoto kwa watu ambao wamechora tattoo za majina au sura za wapenzi wao wa zamani. kuna kikaa kinaitwa laser ambacho kinaweza kutumika kufuta tattoo yote au sehemu ndogo tu ya tattoo. mara nyingi rangi nyeusi zinaweza kutoka ukilinganisha na rangi zingine. maumivu yanayotumiaka kuiondoa tattoo ni makali kuliko maumivu ya kuiweka na hapa kwetu tanzania siana uhakika kama huduma hii ya kuondoa tattoo ipo.
___________________________________________________________________ ASANTE KWA KUFUNGUA POST HII
Tuna kusihii endelea kutembelea blog yetu ili upate kujifunza meng pia kwa kupakua nyimbo mpya kila Siku *********************************************************
Je? Wewe ni msanii au mfanya biashara
Je? Wahitaji tangazo au mziki wako uwafikie watu weng Tangaza mziki biashar tangazo NK. hapa wasiliana nasi 0757136484 Email. Kingsevenmedia@gmail.com
Chapisha Maoni
0
Maoni
Social Plugin
maoni
Tuache Maoni Yako
maoni Ya watembeleaji
var testimonials = [
{ quote: "Tovuti hii ni nzuri sana. Inanipa maarifa mengi.", name: "John Doe", image: "link_to_image1.jpg" },
{ quote: "Thanks for all the valuable content. Keep it up!", name: "Maria M.", image: "link_to_image2.jpg" },
{ quote: "Blog hii imenisaidia kujifunza mambo mapya kila siku.", name: "Ahmed A.", image: "link_to_image3.jpg" },
{ quote: "The information here is top-notch! Very informative.", name: "Hannah W.", image: "link_to_image4.jpg" },
{ quote: "Kama ungeweza kubadilisha speed ya page kidogo, ingekuwa bora zaidi.", name: "Samuel K.", image: "link_to_image5.jpg" },
{ quote: "Mpenzi blogu hii inaburudisha sana. Ningependa kuona zaidi.", name: "Pierre D.", image: "link_to_image6.jpg" },
{ quote: "Huu ni ukweli! Umeandika kwa ufanisi na umenivutia sana.", name: "Rachel L.", image: "link_to_image7.jpg" },
{ quote: "Blog hii inatoa maarifa mengi kuhusu kila kitu.", name: "Isaac T.", image: "link_to_image8.jpg" },
{ quote: "Nashukuru kwa hili, ni mkombozi wangu katika kusoma.", name: "Fatuma S.", image: "link_to_image9.jpg" },
{ quote: "Hii blogu ni bora sana. Inafaa kwa kila mtu anayetaka kujifunza.", name: "Lina K.", image: "link_to_image10.jpg" },
{ quote: "Mambo mnayoyaandika ni ya kisasa na yanavutia. Asante.", name: "Linda P.", image: "link_to_image11.jpg" },
{ quote: "Your blog has been an eye-opener to me!", name: "Musa W.", image: "link_to_image12.jpg" },
{ quote: "Blogu hii ina style ya kipekee. Ninapenda sana.", name: "Peter J.", image: "link_to_image13.jpg" },
{ quote: "Keep up the great work! I am enjoying reading.", name: "Sarah M.", image: "link_to_image14.jpg" },
{ quote: "Napenda jinsi unavyoandika kwa ufanisi. Continue like this.", name: "John K.", image: "link_to_image15.jpg" },
{ quote: "Blogu yako ni muhimu sana kwa kila mwanafunzi.", name: "Kazi A.", image: "link_to_image16.jpg" },
{ quote: "This is the best content I have read in a while. Keep it up!", name: "Cynthia R.", image: "link_to_image17.jpg" },
{ quote: "Mengi sana yanajificha kwenye blogu hii. Sijawahi kuona kama hii.", name: "Yasin N.", image: "link_to_image18.jpg" },
{ quote: "Hii blogu ni nzuri. Napenda jinsi unavyochanganya topics tofauti.", name: "Susan L.", image: "link_to_image19.jpg" },
{ quote: "Nashukuru kwa huduma hii. Weka zaidi za motivation.", name: "Amani W.", image: "link_to_image20.jpg" },
{ quote: "Very insightful content that helped me a lot.", name: "Chris O.", image: "link_to_image21.jpg" },
{ quote: "Tunapata maarifa ya ajabu. Keep posting more!", name: "Mike T.", image: "link_to_image22.jpg" },
{ quote: "Jina lako linavutia sana. Umeandika kwa ufundi mkubwa.", name: "Emma K.", image: "link_to_image23.jpg" },
{ quote: "Asante kwa ufahamu huu. Nimejifunza vitu vingi.", name: "David L.", image: "link_to_image24.jpg" },
{ quote: "Jumuia hii inafaida kubwa. Umechangia sana.", name: "Juma A.", image: "link_to_image25.jpg" },
{ quote: "Amazing insights, I learn something new every time.", name: "Jade T.", image: "link_to_image26.jpg" },
{ quote: "Ninapenda sana blog hii. Imeongeza elimu yangu.", name: "Grace P.", image: "link_to_image27.jpg" },
{ quote: "I recommend this blog for all the young learners.", name: "Omar M.", image: "link_to_image28.jpg" },
{ quote: "Nashukuru kwa hili, itachangia maendeleo yangu.", name: "Rose M.", image: "link_to_image29.jpg" },
{ quote: "Jambo hili limenivutia sana. Najivunia kuwa mfuatiliaji wako.", name: "Daniel C.", image: "link_to_image30.jpg" },
{ quote: "Incredible blog with so much knowledge!", name: "Mariam A.", image: "link_to_image31.jpg" },
{ quote: "Nina furaha kuwa sehemu ya jamii hii ya blog.", name: "Ali K.", image: "link_to_image32.jpg" },
{ quote: "Nimeshuhudia maendeleo mengi kwa kutumia blog hii.", name: "Naomi J.", image: "link_to_image33.jpg" },
{ quote: "Nashukuru kwa elimu unayotufundisha kupitia blog hii.", name: "David R.", image: "link_to_image34.jpg" },
{ quote: "I love the diverse topics covered on this blog.", name: "Sally T.", image: "link_to_image35.jpg" },
{ quote: "Blog hii ni ya kipekee. Asante kwa kufanya hivyo.", name: "Sophia M.", image: "link_to_image36.jpg" },
{ quote: "I'm amazed by the knowledge shared here.", name: "Mohamed B.", image: "link_to_image37.jpg" },
{ quote: "Hii blogu inafaa sana kwa wapenzi wa kujifunza.", name: "Jane N.", image: "link_to_image38.jpg" },
{ quote: "I enjoy reading here every time I visit!", name: "Chris A.", image: "link_to_image39.jpg" },
{ quote: "Tunaomba tuendelee kupokea makala zaidi kama hizi.", name: "Emilia Z.", image: "link_to_image40.jpg" },
{ quote: "Blogu hii inatufanya tuwe na maarifa zaidi.", name: "Joseph R.", image: "link_to_image41.jpg" },
{ quote: "Nice work. I look forward to new content.", name: "Victor L.", image: "link_to_image42.jpg" },
{ quote: "Napenda vitu vya kipekee vinavyopatikana kwenye blog hii.", name: "Karen B.", image: "link_to_image43.jpg" },
{ quote: "Maoni yangu kuhusu blogu yako ni mazuri. Endelea hivi.", name: "Sina K.", image: "link_to_image44.jpg" },
{ quote: "Your blog keeps improving. Keep the fire burning!", name: "Michael S.", image: "link_to_image45.jpg" },
{ quote: "Kila post inaleta elimu mpya kwangu.", name: "Tunda L.", image: "link_to_image46.jpg" },
{ quote: "This blog has great tips and hacks. I love it!", name: "George T.", image: "link_to_image47.jpg" },
{ quote: "Kweli, blog hii imefungua macho yangu. Asante.", name: "Joseph M.", image: "link_to_image48.jpg" },
{ quote: "I always learn something new when I read your posts.", name: "Wema N.", image: "link_to_image49.jpg" },
{ quote: "Umeandika kwa weledi mkubwa. Asante kwa hili.", name: "Peter M.", image: "link_to_image50.jpg" }
];
0 Maoni
King seven tz