Baada ya kulitangaza vizuri bara la Afrika na kuona mafanikio makubwa kutoka kwa superstar
Davido kutokea nchini Nigeria sasa ameonekana kupokea vitisho kutoka kwa watu mbalimbali.
Kupitia mtandao wa twitter wa Davido ameweka wazi kuwa anapokea vitisho vingi sana na yuko tayari kwa vitisho hivyo. Baada ya maneno hayo ya Davido wengi wamecomment na kusema kuwa kila mafanikio huwa yaja na wapinzani ambao watachukia.
“Napata vitisho vingi sana, niko tayari kwaajili ya vitisho hivyo” >>>Davido
___________________________________________________________________ ASANTE KWA KUFUNGUA POST HII
Tuna kusihii endelea kutembelea blog yetu ili upate kujifunza meng pia kwa kupakua nyimbo mpya kila Siku *********************************************************
Je? Wewe ni msanii au mfanya biashara
Je? Wahitaji tangazo au mziki wako uwafikie watu weng Tangaza mziki biashar tangazo NK. hapa wasiliana nasi 0757136484 Email. Kingsevenmedia@gmail.com
0 Maoni
King seven tz