Ticker

6/recent/ticker-posts

Ndege isiokuwa na rubani yazua hofu



Ndege isiokuwa na rubani ambayo ilionekana  katika anga la kituo cha usalama  cha Kozama mjini Riyadh ilizua hofu  majira ya usiku mjini humo.

Jeshi la Polisi lilipatwa na hofu na kuanza kuishambulia kwa risasi. Kulingana na taarifa zilizotolewa ni kwamba ndege hiyohaikuwa hatari bali ndege ambayo ilikuwa ikitumiwa kwa michezo karibu  na karsi ya mfalme.

Milio ya risasi iliosikika majira ya usiku karibu na karsi ya mfalme ilipelekea taarifa za uvumi kuwa ilikuwa jaribio la mapinduzi. Msemaji wa jeshi la Polisi nchini Saudi Arabia amesema kuwa dhana hiyo ilitanda baada ya kusikika milio ya risasi pembezuni mwa karsi ya mfalme



_______________________________________________________________________ ASASANTE KWA KUFUNGUA POST HII Tuna kusihii endelea kutembelea blog yetu ili upate kujifunza meng pia kwa kupakua nyimbo mpya kila Siku ********************************************************"""** Tangaza biashara mziki Nk. yako hapa wasiliana nasi 0757136484 Email. Kingsevenmedia@gmail.com

Chapisha Maoni

0 Maoni