Msemaji wa wizara ya mambo ya ndani nchini Saudi Arabia amewattolea wito wanaomiliki ndege zisizokuwa na rubani kujisajili na kuomba ruhusu ya kumiliki ndegeg hizo.
Msemai huyo wa wizara ya mambo ya nje amesema kuwa kusajiliwa kwa wamiliki wa ndege hizo kutatoa fursa kwao kuwekewa maeneo ambayo ndege zao zitakuwa zikiruhusiwa kuruka.
Uamuzi huo umechukuliwa baada ya masaa kadhaa kushambuliwa ndege isiokuwa na rubani na jeshi la Polisi ilioruka pembezuni mwa karsi ya mfalme mjini Riyadh Jumamosi kumkia Jumapili.
Tukio hilo lilipelekea uvumi wa jaribio la mapinduzi na kuyumbishwa usalama Saudi Arabia.

_____________________________________________________________________ ASASANTE KWA KUFUNGUA POST HII Tuna kusihii endelea kutembelea blog yetu ili upate kujifunza meng pia kwa kupakua nyimbo mpya kila Siku ********************************************************"""** Tangaza biashara mziki Nk. yako hapa wasiliana nasi 0757136484 Email. Kingsevenmedia@gmail.com
0 Maoni
King seven tz