Ticker

6/recent/ticker-posts

Idriss aandika hv kwenye posti ya Shilole



Msanii Shilole amepost Picha kupitia ukurasa wake wa Instagram na kuandika ‘Shishi’ kisha mchekeshaji Idriss Sultan akaja ku-comment chini kwa kuandika “Ila we Dada Mmeo anapiga ngumi si mchezo. Saaasaivi unajiita Shishindwi”

Baada ya Idriss Ku-comment hivyo amezidi kuchangamsha upande wa comment wa post ambapo wengi wakaanza kum-mention Idriss huku watu wengi wakiamini huenda kile kinachodaiwa juu ya Shilole kuwa huwa anapigwa na mumewe Uchebe.


___________________________________________________________________ ASANTE KWA KUFUNGUA POST HII Tuna kusihii endelea kutembelea blog yetu ili upate kujifunza meng pia kwa kupakua nyimbo mpya kila Siku ********************************************************* Je? Wewe ni msanii au mfanya biashara Je? Wahitaji tangazo au mziki wako uwafikie watu weng Tangaza mziki biashar tangazo NK. hapa wasiliana nasi 0757136484 Email. Kingsevenmedia@gmail.com

Chapisha Maoni

0 Maoni